Friday, 24 April 2015

Barua ya kwenda Nanenane.



                                                                         
ParokiayaMt.MariaKonsolata
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo
S. L. P. 3030, Chuo Kikuu, MOROGORO
Simu: +255783292165; +255714516835
Kumb. Na:Mt. Maria Konsolata/Hrb/2015
Tarehe:  24/04/2015
 


                                                                                          KWAYA YA MT.MARIA CONSOLATA
                                   S.L.P 3030



M/KITI  WA  KWAYA
KWAYA YA MT. THOMAS  WA  AKWINO
KIGANGO  CHA MT. JOSEPHINE  BAKHITA
S.L.P
NANENANE – MOROGORO


K.K.       PADRE MLEZI   (PAROKO)
                PAROKIA YA MT.MARIA CONSOLATA
                S.L.P 3030
                SUA –MOROGORO

YAH.ZIARA YA UINJILISHAJI HAPO KIGANGONI KWENU
Tumsifu Yesu Kristo………………………………………!
Rejea kichwa cha barua hapo juu.
Sisi wanakwaya wa Kwaya ya Mt.Maria Consolata Parokia ya Mt.Maria Consolata SUA Kampasi kuu, tunayofuraha kubwa kuomba kufanya ziara ya uinjilishaji kwanjia ya kuimba hapo Kigangoni siku ya Tar.03/05/2015 Jumapili ya 5 ya Pasaka. Niani kuongoza Misa za sikuhiyo kama zipo zaidi ya moja na kuuza CD za albamu yetu ya kwanza “Fanya Haraka Ee Mwenyezi Mungu” (audio) itakayo tuwezesha kuzindua Video yake mwezi wa sita mwaka huu.

Nimatumaini yetu kuwa ombi letu litapokelewa.
Tunawatakia utume mwema katika kumsifu Mungu kwa Nyimbo.
Asante!
   …………………                                                                                          ………..…………
  HELMAN     NYIGO                                                                     ELISHA   N.   MONELLAH
          KATIBU                                                                                                        M/KITI
Mawasiliano
0755 – 679 471(M/kiti)   
0764–200 952  (Katibu) 
0753 – 210 184  (Mwl. MkuuwaKwaya)

Nakala
Mleziwakwaya –Mt.MariaConsolata -SUA
M/kitiwashikwaka –Parokiaya Mt. Maria Consolata - SUA
M/kiti wa TMCSParokiaya Mt. MaraiaConsolata-SUA
M/kiti wa Kigango- Kigango cha Mt.Josephine Bakhita –Nanenane Morogoro.

2 comments:

  1. ni nzuri panua wigo wa injili kwa maana kila ulimi lazima ukiri kwamba kristo ni BWANA

    ReplyDelete
  2. ni nzuri panua wigo wa injili kwa maana kila ulimi lazima ukiri kwamba kristo ni BWANA

    ReplyDelete