Friday, 24 April 2015

Mechi ya Mpira wa Miguu 12/02/2015

Picha za mpira wa miguu
kati ya kwaya ya Mt.Maria Consolata na Mt.Donbosco iliyochezwa Tar. 12/04/2015 iliyochezwa katika kiwanja cha mpira wa miguu Chuoni SUA. Mechi iliisha kwa kufungana mabao 3-3.

Baadhi ya wachezaji wa kwaya ya Mt.Maria consolata
Timu ya kwaya ya Mt.Don Bosco


                   


                   





Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Kwaya ya Mt.Maria Consolata (KMMC Newhostels)


1 comment:

  1. PARTOMUC HATA KUSHANGILIA UNASHINDWA WEWE VIP BANA
    TEMBO WE NDO HATA UWANJANI HUONEKANI KABISAAAAAAA

    ReplyDelete