Picha mbali mbali
zikionyesha wanakwaya walioshiriki kuimba misa ya Jtatu ya Pasaka wakiwa pamoja kwenye picha za pamoja.Wenye mashati ya rangi ya Caroti ni Baadhi ya walimu wa kawaya hii.Picha nawapiga picha wetu (Lemaly, Remy na Isaya)
Blog hii ni mali ya KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA (KMMC) yenye makazi yake CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) New Hostels - S.L.P 3030 MOROGORO. Chini ya mlezi Familiya ya Dr. Rwegasira G.M . Blog inajihusiha kuwapa wanakwaya wote na wapenda kwaya wote taarifa mbalimbali za kwaya hii walizozifanya wenyewe na zilizofanywa na kwaya nyingine ikibidi, ili kwapamoja kuweza kupanua wigo wa kutangaza Enjili ya Bwana wetu YESU KRISTU kwa watu wote. AMINA.
No comments:
Post a Comment