Wanakwaya wakiwa
katika kurekodi moja ya nyimbo zilizoko kwenye Albamu ya video. Picha hii ilipigwa katika Chuo cha Mt. Jordan Morogoro. Na mpiga picha wetu
Blog hii ni mali ya KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA (KMMC) yenye makazi yake CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) New Hostels - S.L.P 3030 MOROGORO. Chini ya mlezi Familiya ya Dr. Rwegasira G.M . Blog inajihusiha kuwapa wanakwaya wote na wapenda kwaya wote taarifa mbalimbali za kwaya hii walizozifanya wenyewe na zilizofanywa na kwaya nyingine ikibidi, ili kwapamoja kuweza kupanua wigo wa kutangaza Enjili ya Bwana wetu YESU KRISTU kwa watu wote. AMINA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment