Pichani ni wanakwaya
wakimsikiliza M/kiti wao wa kwaya Bw. Monellah E. (hayupo pichani) katika kikao cha Halimashauri ya kwaya kufungia semista kilichoketi Tar. 22/03/2015 Parokiani SUA.
Blog hii ni mali ya KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA (KMMC) yenye makazi yake CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) New Hostels - S.L.P 3030 MOROGORO. Chini ya mlezi Familiya ya Dr. Rwegasira G.M . Blog inajihusiha kuwapa wanakwaya wote na wapenda kwaya wote taarifa mbalimbali za kwaya hii walizozifanya wenyewe na zilizofanywa na kwaya nyingine ikibidi, ili kwapamoja kuweza kupanua wigo wa kutangaza Enjili ya Bwana wetu YESU KRISTU kwa watu wote. AMINA.
No comments:
Post a Comment