Picha zikionyesha
wanakwaya wakisimba na kucheza wimbo wa mwisho (Enyi wakristu tusali pamoja) chini ya mwembe baada ya kumaliza kuimba katika misa ya Jumatatu ya Pasaka Tar.06/04/2015.Misa iliyoongozwa na Pd.Dr. Msike Paroko wa parokia ya Mt.Maria Consolata - SUABlog hii ni mali ya KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA (KMMC) yenye makazi yake CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) New Hostels - S.L.P 3030 MOROGORO. Chini ya mlezi Familiya ya Dr. Rwegasira G.M . Blog inajihusiha kuwapa wanakwaya wote na wapenda kwaya wote taarifa mbalimbali za kwaya hii walizozifanya wenyewe na zilizofanywa na kwaya nyingine ikibidi, ili kwapamoja kuweza kupanua wigo wa kutangaza Enjili ya Bwana wetu YESU KRISTU kwa watu wote. AMINA.
MBARIKIWE SANA
ReplyDelete