zikionyesha maadhimisho ya sherehe ya kuzaliwa kwa kwaya ya MT.MARIA CONSOLATA SUA- NEWHOSTELS iliyofanyika Tar. 12/05/2013 kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.Mgeni rasmi alikuwa ni DR.Rwegasira G (mwenye suti nyeusi pichani -meza kuu). Ambaye hni mlezi wa kwaya hii.
Blog hii ni mali ya KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA (KMMC) yenye makazi yake CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) New Hostels - S.L.P 3030 MOROGORO. Chini ya mlezi Familiya ya Dr. Rwegasira G.M . Blog inajihusiha kuwapa wanakwaya wote na wapenda kwaya wote taarifa mbalimbali za kwaya hii walizozifanya wenyewe na zilizofanywa na kwaya nyingine ikibidi, ili kwapamoja kuweza kupanua wigo wa kutangaza Enjili ya Bwana wetu YESU KRISTU kwa watu wote. AMINA.
Monday, 30 March 2015
Birthday ya Kwaya Tar.12/05/2013
Picha mbalimbali
zikionyesha maadhimisho ya sherehe ya kuzaliwa kwa kwaya ya MT.MARIA CONSOLATA SUA- NEWHOSTELS iliyofanyika Tar. 12/05/2013 kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.Mgeni rasmi alikuwa ni DR.Rwegasira G (mwenye suti nyeusi pichani -meza kuu). Ambaye hni mlezi wa kwaya hii.
zikionyesha maadhimisho ya sherehe ya kuzaliwa kwa kwaya ya MT.MARIA CONSOLATA SUA- NEWHOSTELS iliyofanyika Tar. 12/05/2013 kutimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake.Mgeni rasmi alikuwa ni DR.Rwegasira G (mwenye suti nyeusi pichani -meza kuu). Ambaye hni mlezi wa kwaya hii.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment