Wanakwaya KMMC-SUA New Hostels
Wakiwa katika maandamano ya kuingia kanisani kuadhimisha Misa Takatifu ya Dominika ya Matawi kusherehekea kuingia Bwana YESU KRISTO Yerusalemu kwa shangwe miaka zaidi ya 2000 iliyopita. Misa iliongozwa na Pd. Machupa. Picha na Remigius Macha
Blog hii ni mali ya KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA (KMMC) yenye makazi yake CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) New Hostels - S.L.P 3030 MOROGORO. Chini ya mlezi Familiya ya Dr. Rwegasira G.M . Blog inajihusiha kuwapa wanakwaya wote na wapenda kwaya wote taarifa mbalimbali za kwaya hii walizozifanya wenyewe na zilizofanywa na kwaya nyingine ikibidi, ili kwapamoja kuweza kupanua wigo wa kutangaza Enjili ya Bwana wetu YESU KRISTU kwa watu wote. AMINA.
No comments:
Post a Comment