TUMSIFU YESU KRISTO..................!
Tunapenda kuwatangazia wanakwaya wote luwa kutakuwa na mazoezi ya mfululizo kuanzia Juma tatu aijayo mpaka siku ya Juma mosi ya mkesha wa PASAKA, hii ni kutokana na kuwa muda hautoshi kufanaya mazoezi kwa kupumziak siku moja au mbili.
Asanteni
Mwl.Mkuu wa kwaya
Tembo J,A.
Blog hii ni mali ya KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA (KMMC) yenye makazi yake CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) New Hostels - S.L.P 3030 MOROGORO. Chini ya mlezi Familiya ya Dr. Rwegasira G.M . Blog inajihusiha kuwapa wanakwaya wote na wapenda kwaya wote taarifa mbalimbali za kwaya hii walizozifanya wenyewe na zilizofanywa na kwaya nyingine ikibidi, ili kwapamoja kuweza kupanua wigo wa kutangaza Enjili ya Bwana wetu YESU KRISTU kwa watu wote. AMINA.
No comments:
Post a Comment