kati ya kwaya ya Mt.Maria Consolata na Mt.Donbosco iliyochezwa Tar. 12/04/2015 iliyochezwa katika kiwanja cha mpira wa miguu Chuoni SUA. Mechi iliisha kwa kufungana mabao 3-3.
![]() |
Baadhi ya wachezaji wa kwaya ya Mt.Maria consolata |
![]() |
Timu ya kwaya ya Mt.Don Bosco |
![]() |
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Kwaya ya Mt.Maria Consolata (KMMC Newhostels) |
PARTOMUC HATA KUSHANGILIA UNASHINDWA WEWE VIP BANA
ReplyDeleteTEMBO WE NDO HATA UWANJANI HUONEKANI KABISAAAAAAA